top of page

VYAKULA SAFI NA VITU NAJISI


Law 11

Je, agano jipya linasemaje kuhusu unajisi na usafi wa chakula?

Zingatia:

Kiebrania"

Tame-Najisi asilia (unclean or impure)

Linapotumika kwa wanyama humaanisha hawezi kutakaswa!(permanently unclean)

Chalal~To defile or to make common (kukinajisi kitu)

eg. Mtu aliweza kunajisiwa kwa kugusa mzoga

Kiyunani(Greek)

Akathartos=Tame

a~si, kathartos~safi :. Akathartos~Impure naturally

Eg, 2kor 6:16-17

Koinos~Chalal -kilichonajisiwa

Kukifanya kichafu kitu kilichokuwa kitakatifu.

Kitu kilichonajisiwa chaweza kuwa kisafi tena kwa kutakaswa!

Eg. Mtu aliyegusa mzoga!

Je, Yesu alitakasa chakula najisi asilia? "Akathartos"?

Mark 7:3-13

Mapokeo ya wazee yalitumika kupuuza amri za MUNGU (9)

Waliruhusu kupuuza amri ya 5 ili watoto watoe mchango kwny hekalu (10-13)

Waandishi na mafarisayo walilaumu wanafunzi kutofuata mapokeo kwa kula bila kunawa mikono . Jambo LA kunawa mikono hutaliona ktk agano LA kale!!! Ila mapokeo hayo yalifanywa hasa ktk inter-testiment period miaka ya 400 (Malaki-Mathayo)

Kumbuka majadiliano ya Yesu hayakuwa ya wanyama safi na wasio safi Bali vyakula vilivyonajisiwa (koinos) kwa mikono isiyonawiwa.

Ktk agano LA kale vyakula najisi neno lililotumika ni Akathartos ambalo pia ktk agano jipya limetumika ktk Mark 7:25 (pepo hawatakasiki)

Neno koinos ktk agano la kale lilitumika Mara chache na ndilo lililotumika ktk mjadala wa Yesu na mafarisayo.

Kulingana na mapokeo ya wazee, wanafuz kula chakula kilichoguswa kwa mikono isiyonawiwa (koinos) wangenajisiwa na wasingekubaliwa kiroho na Mungu!!

Kama Yesu aliwalaumu Mafarisayo kwa kuacha amri za MUNGU, Je yeye mwnyw angeanza kuziacha amri kwa kutoa mapokeo mengine ya namna ileile yanayopingana na maandiko?

Hivyo alisema Koinos haimnajisi alaye na siyo Akathartos!!!

Maono ya Petro.(mdo 10,11)

Petro aliishi na Yesu kwa muda mrefu kwa hyo chakula najisi na visivyo najisi vilikuwa bado vinazingatiwa, ndio maana alikataa alipoambiwa achinje ale wanyama najisi. Kumbe yalikuwa maono juu ya mtazamo wake kwa mataifa (non- Jews)

Paulo na vilivyonajisiwa!

Rum 14:14 Hakuna kilicho najisi (koinos) kwa asili yake.

Wakristo wa kimataifa walikua ktk tamaduni ambazo vyakula km vile nyama vilitolewa kafara kwa sanamu. Hivyo hata baada ya kuwa wakristo baadhi yao walikula kana kwamba kimetolewa kafara kwa sanam Rum 14:13,21,23.

Paulo hakuzungumzia Akathartos bali koinos! Ndio maana ktk 1kor 8:10 anatoa tahadhari kwa wanaojua kuwa sanamu si kitu wasije wakawaathiri kifikra wale waliotoka ktk jamii ya ibada ya sanamu iliyohusisha chakula.

Hivyo:

Rum 14 najisi ni koinos

1kor 8 najisi ni koinos na cyo najisi ya Akathartos

2kor 6:16-7:1 najisi ni Akathartos

Hukumu kwa walao wanyama najisi

Isaya 66:15-24 Yesu ataangamiza walao panya, nguruwe na machukizo na waabuduo sanamu!

Ufunuo 18:2-4 ndege na wanyama wasio safi wapo hadi wakati wa dhiki wa siku za mwisho!!!!! Ole wako ule,,,,

bottom of page