HABARI NJEMA
Nyumbani
Habari Njema SS
Tazama
Sikiliza
Soma
Dukani
Blog
Kutuhusu
More
Kumekuwa na Dhana kwamba Jehanamu ipo chini ya dunia ama sehemu zingine ikiwaka hata sasa, je biblia inasemaje?
Tangu mwanzo haukuwa mpango wa Mungu watu kuangamia na dhambi, soma makala hii ikusaidie kujua je, moto wa jehanam uliandaliwa kwa ajili ya kina nani?
Somo kuhusu Jehanam ni moja kati ya masomo ambalo uelewa wake umeleta changamoto sana, soma makala hii upate uelewa sahihi wa Kibiblia
Fundisho lisemalo kwamba mtu anapokufa anaendelea kuishi, hasa imani ile isemayo kwamba roho za wafu zinarudi kuja kuwatumikia walio hai, limetayarisha njia kwa dini ya siku hizi ya kuongea na mizimu (modern spiritualism).
Kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusu mda ambao moto huu utadum, fuatilia makala hii upate uelewa wa kibiblia kuhusu hoja hii