Biblia Yakujibu 2
Maswali yalioulizwa
1.Matayo 25:1-12. Nahijtaji kujua taa na mafuta vinawakilisha nini?
2.Nisaidie kunielewesha wakolosai 2:16
3.Habari.
Swali langu ni kuhusu sabato.
JE NI KWELI sheria ya Sabato iliwahusu tu watu waliokua chini ya sheria waliyopewa kupitia Musa?
(Kumb kumb la torati 5;2,3 Ezekiel 20;10-12)...
Na kwamba Mungu hakuamuru watu wengne washike Sabato?
Na kwamba hata wayahudi walifunguliwa kutoka katika sheria ya musa ( kutia ndani amri kumi... Warumi 7;6,7; 10;4 wagalatia 3:24,25 waefeso 2:15...) na kwamba badala ya kushika sheria ya musa. Wakristo wana fuata ile sheria kuu ya upendo (Warumi 13:9, 10 Waebrania 8:13)
4. Naomba kuulza maombi yapi yanajibiwa haraka, Swali langu ni moja tu maombi yapi yana nguvu na yenye kujibiwa haraka?
5. Naomba kuuliza, kwa nini Biblia zingine zone vitabu 66 na zingine 72
6. Naomba ufafanuzi wa 2Samweli 6:20 je tunaruhusiwa kuimba kwa kucheza
7. Bwana Yesu asifiwe Mtumishi, naomba kuuliza swali, Ufunuo wa Yohana,17:8 ndiyo kusema kuna watu walishaandikiwa kutourithi uzima wa milele tangu kuumbwa kwao?