HABARI NJEMA
Nyumbani
Habari Njema SS
Tazama
Sikiliza
Soma
Dukani
Blog
Kutuhusu
More
"Gundua" ni kozi ya kujifunza Biblia wenye masomo 26 ambayo imeandaliwa kukusaidia kuyajua mafundisho ya Msingi ya Biblia hivyo kukukuza kiimani zaidi
Kozi hii ina masomo ya msingi 15 yatakayokusaidia kupanua uelewa wako katika kulifahamu neno la Mungu.
Utakapoamua kujifunza masomo haya, utatunukiwa cheti baada ya kumaliza masomo yako