top of page
071Evangelia_Woman-Bible-Africa-1.jpeg

SHULE YA

Biblia

Makala za Mizani ya Haki 
ufunuo wa yesu.jpg

JE YESU ALIKUJA KWA ISRAELI PEKEE?

Hoja inayohusiana na mipaka ya utume wa Bwana “Yesu” ni miongoni wa hoja tata sana katika mchakato wa kidini kipindi cha leo. Maandiko kadhaa ya Kibiblia yanaonekana kutoeleweka na watu wengi na hivyo kutojua haswa msingi wa ujio wa Bwana Yesu kama ulilenga mataifa yote au Israeli pekee.

prophet daniel.jpg

UTUME WA PAULO WATHIBITISHWA

Kama ilivyo katika maandiko ya Biblia mtume Paulo haelezwi kama mtu aliyekuwa katika misingi ya kipagani bali maandiko hayo hueleza wazi kuwa mtume Paulo alikuwa ni mfuasi na mshika dini makini katika msingi wa dini ya kiyahudi huku akiwa ni Farisayo aliyebobea.

2015-new-fashion-Korean-fashion-shoes-wh

KWA NINI TUNASALI NA VIATU

Ninapenda kuchukua fursa hii kwanza kumshukuru Mungu kwa uongozi  na uwezeshaji wake katika utafiti na uandishi wa mada hii muhimu yenye lengo la kututoa katika giza la uelewa juu ya swala hili tete la kusali au kutosali na viatu katika majengo yetu ya ibada

TAZAMA HABARI NJEMA TV

Tazama Mubashara hapa online matangazo ya Habari Njema TV, kwa vipindi vya mahubiri na chambuzi mbalimbali za neno la Mungu vitakavyokukuza kiroho na kukuinua kiimani

bottom of page