MAPENZI YA KWELI KATIKA ULIMWENGU WA KIDIGITALI
MAPENZI YA KWELI KATIKA ULIMWENGU WA KIDIJITALI
ni vyao na matarajio yao katika ndoa. Ni kitabu ambacho kinawakilisha maoni ya
Kinafanya mazungumzo naye, ni kama kinatoa sauti kwa kutumia lafudhi ya
zinazoelezeasababu za vijana kuhitaji ndoa, matamanio ya vijana ya kuwa na
Je, umewahi kupitia uzoefu wa kupost picha ya mtu halafuunatamani aone
mafanikio unaozaa ndoa inayofanikiwa, kila sura ya kitabu hiki ilete unafuu
ndoa bora, hofu inayowakabili vijana wengi, mbinu za kujitathmini kama
bila kujua kwamba ingawa kanuni hazibadiliki, lakini njia au matumizi ya
Kwa muda mrefu vimeandikwa vitabu vingi kuhusiana na Uchumba hadi Ndoa,
lakini vimekuwa vikibeba maneno mengi na magumu ya kiteolojia na kuficha
mwako kilete tumaini jipya na mtazamo sahihi kuhusu uchumba wenye
mamia ya vijana ndani na nje ya nchi. Ndani ya kitabu hiki utakutana na mada
vinahitaji mtu mwenye elimu ya juu ili aweze kuvielewa, na hivyo kutengeneza
umepevuka kiakili na kihisia, Lugha za mapenzi, Kukabiliana na uzoefu wa
matabaka na wengi kuachwa pembeni bila msaada wa moja kwa moja. Na
Mpendwa msomaji, hata wewe unajisikiaje unapoweka picha status halafu watu
yake, wachumba wa mitandaoni na mengine mengi.
kwako na kwa jamaa zako, na mwisho wa kitabu hiki uamke ukiwa na fikra
hakuona? Ulijisikiaje? Uliona kama umefanya kazi bure siyo? Bila shaka
ndoa, kimetoa suluhisho la kukabiliana na kasi hii ya muingiliano wa jamii, na
maisha yetu kwa usahihi. Ni ombi na nia yangu kwamba, kitabu hiki mkononi
kuonesha kwamba bado tunaye Mungu muumbaji anayejali na kuendesha
kitabu ambacho kimekusanya mitazamo ya vijana kuhusu uchumba, vigezo
uhalisia wa maisha ya sasa ya vijana, vitabu vingi vimekuwa vile ambavyo
kanuni hizo hubadilika kulingana na wakati. Kwa kuzingatia ombwe hili, kitabu
kwamba umempost ili atambue kwamba unampenda, halafu kwa bahati mbaya
msomaji.
baadhi ya vitabu vimetumiambinu za zamani kwenye ulimwengu wa kidijitali,
Kitabu hiki kimesheheni visa halisi vya kusisimua vinavyogusa uchumba na
hukujisikia vizuri, Na kama ndivyo, basi kitabu hiki ni kwa ajili yako.
kukataliwa, Nguvu ya msamaha, Mlipuko wa mitandao ya kijamii na matokeo
hiki kimekusudia kumfikia kila mtu katika uelewa na mazingira yake.
wakawa wanapita bila kujibu chochote? Unajihisi kudharaulika na kukataliwa?
mpya zenye matumaini na ujasiri wa kuikabili kesho kwa imani.